HEKA HEKA ZA LEO NDANI YA MANISPAA YA TABORA
Hapa Ni Sikonge Road Pande Za Lwanzali. Barabara Yetu Kuelekea Sikonge Si Tatizo Tena
Maeneo Ya Kona Kuelekea Sikonge
Hospitali Yetu Ya Rufaa Ya Mkoa Tabora
Ni Heka Heka Za Mitaani
Kitete Nursery, Karibuni Kwa Miche Bora Kabisa
Mitaa Ya VETA Makao makuu ya kanda
Whatsap Pub, Ni Kiwanja Maarufu Sana Hapa Town
Wajanja Wote Wa Mjini Wanakutana Hapa, Ukipenda Paite Oxygen Pub.
No comments