MATUKIO NA MATOKEO YA MASHINDANO YANAYOENDELEA YA UMISSETA TABORA
Hii Ni Kanda Ya Kazima Sekondari. Pichani Ni Vijana Wa Mihayo Wakipata Maelekezo Ya hawali kabisa katika mtanange kati Yao na Ndevelwa.
Kijana huyu Hatari Aliingia Kwenye Nyavu Za Ndevelwa Mara Mbili
Ni Mapumziko. Mihayo 3-2
Mchezo Huu Ulipigwa Katika Viwaja Vya TTC-Tabora Na Hadi Kipenga Cha Mwisho Kinalia Mihayo 4-2
Kanda Ya Mirambo Sekondari. Kivumbi Kikawa Ni Kati Ya Kanyenye Dhidi Ya Majirani Zao Nyamwezi.
Huyu Kijana Hafai, Ni Hatari Sana. Ni Zaidi Ya Messi
Kanyenye Wakazifuma Nyavu Za Nyamwezi
Ilikuwa Ni Faulo Ya Viwango Hadi Nyavuni
Kocha Wa Nyamwezi Kafura, Hadi Mapumziko Wako Nyuma 2-0
Kaa Na Mtu Na Hakikisheni Magoli Yanarudi
Ni Katika Viwanja Tulivu Vya Mirambo Sekondari Na Hadi Mchezo Unamalizika, Kanyenye 3-1
Ndani ya Viwanjwa Vya Kikapu Vilivyo Ndani Ya Parokia Ya Makokora. Mtanange Ni Kati Ya Wadada Wa Mwinyi Na Skanda
Hiloooo...!
Ni Mwendo Wa Kuinua Vikwapa Tu Na Hadi Mwisho, Mwinyi Wakasonga Mbele Kwa Magoli Mengi Zaidi
Matokeo Mengine Football:
Mwinyi 1- 1 Mirambo
Unyanyembe 5 - 2 Skanda
Robo Fainali Ya Kwanza:
Nkumba 0-4 Ipuli
Nusu Fainali Ya Kwanza: Leo 10.05.2017
Bomba Mzinga 7 - 4 Ikomwa (Hawa waliingia Kwenye Matuta Baada Ya Share Ya 2 - 2)
Nusu Fainali Ya Pili:
Mihayo 5 - 3 Ipuli (Ni baada Ya Sare Ya Bila Magoli Na Ndipo Wakaingia Kwenye Matuta)
Fainali Kesho 12.05.2017
Mihayo Vs Bomba Mzinga ( Kaa Tayari Kuhabarika.

No comments