Ni round about kuelekea zilipo ofisi za mkoa Tabora. Pongezi za kipekee ziwaendee wale wote wanaohusika na suala zima la utunzaji wa mazingira pamoja na Tanroads manispaa ya Tabora. Hakika Tabora ya kijani inawezekana
No comments