Kaitaba Kwetu Ni Blog Maalumu kwa kuwaletea habari zote muhimu sitokeazo kanda yote ya ziwa mpaka Tabora. Hivyo kama una Tangazo kuhusu Biashara yako unaruhusiwa kutangaza nasi. Kwa mawasiliano kuhusu Matangazo Wasiliana nasi kwa simu namba +255755563180 au +255626615639 au E-Mail : Protocooperation53@gmail.com na Frankwilbert16@gmail.com. Nyote Mnakaribishwa.

Header Ads

HABARI PICHA UZINDUZI WA BOMBADIER MKOANI TABORA

Kama Ilivyo Desturi, Mgeni Wetu Akapewa Heshima Yake Ya Kipekee Kukanyaga Ardhi Ya Tabora Kwa Mara Ya Kwanza
Hadi Raha
Mala Lango Linafunguliwa
Dada Mhudumu Kwa Tabasamu Akijongea Taratibu Kushuka Ngazi
Karibu Sana Mh. Tunakusubiri Wewe
Habari Za Siku Bwana

Meza Kuu Mubashara
Viongozi Wetu Wa Kiroho Wakiwa Safi Kimwili Na Kiroho Pia
Waandaaji Na Waalikwa Wengine Wakiketi Kwa Uzuri



Wasaha Wa Kuongea Na Muumba Wetu

Ni Vijana Wetu Kutoka JKT Msangi Tabora Kwa Madoido Wakifanya Ya Kwao
Huyu Ni Machachari Sana Ijapo Udogo Wa Mwonekano, Asante Sana Afande.
Mmemwonaaaa?
Mh. Naibu Waziri Akatoa Yake Kwa Hadhara Iliyokuwepo Mahala Hapa
Keki Yetu Kuashiria Uzinduzi Rasmi
Hiyoooooo...!  Ikakatwa
Mh. A. Rage Akitabasamu Ujio Wa Bombadier
Wah. Wabunge Wetu Hawa Kutoka Mkoa Wa Tabora Wakishow Love Na Bloga Wetu
Wasaha Ukafika Wa Mgeni Wetu Kuagwa. Kwaheri Na Karibu Sana Tabora
Byeeeeee......!
Ilikuwa Ni Furaha Sana Kwa Kila Mwana Tabora Kwa Jambo Hili La Heshima Kubwa. Tunakusihi Wewe Mwanablog Wetu, Kwa Matukio Na Habari Za Moto Moto Tuwasiliane: www.kaitabakwetu.blog.com. 0782 177 775/0753 252 677.

No comments

Powered by Blogger.