Kaitaba Kwetu Ni Blog Maalumu kwa kuwaletea habari zote muhimu sitokeazo kanda yote ya ziwa mpaka Tabora. Hivyo kama una Tangazo kuhusu Biashara yako unaruhusiwa kutangaza nasi. Kwa mawasiliano kuhusu Matangazo Wasiliana nasi kwa simu namba +255755563180 au +255626615639 au E-Mail : Protocooperation53@gmail.com na Frankwilbert16@gmail.com. Nyote Mnakaribishwa.

Header Ads

UZINDUZI WA SAFARI ZA NDEGE MPYA ZA BOMBADIER MKOANI TABORA

 Kama panavyosomeka, Air Tanzania The Wings Of Kilimanjaro. Ni Katika Kuzindua Safari Ya Kwanza Ya Kihistoria Ya Ndege Ya Bombadier Mkoani Tabora.
 Wananchi Wakiingia Eneo La Tukio Tayari Kwa Kutanabaika

 Walioketi

 Fundi Mitambo Wetu
 Ikatua Precision Ikielekea Kigoma



 Pembeni Inasomeka Bukoba, Hongereni Sana Wana Bukoba Kwa Kuwa Wadau Wa PrecisionAir


 Karibuni Tabora
 Wakati Wa Kuondoka, Wa Kigoma Haooooo. Kwaheri Ya kuonana Na Wasalimieni Huko kigoma

 Rubani  Kanyaga Twende ...........

 Hatujakaa Sawa, Mara Mgeni Wetu Wa Heshima Huyooooooo..........
Ndo Mwenyewe Bombadier Q400

No comments

Powered by Blogger.