Ni Barabara Ya Mtaa Wa Migazini Mkabala Na Mtaa Wa Gongoni Matumaini Yetu Basi Ni Kuona Mandhari Ya Mji Ikiwa Ni Ya Kuvutia Zaidi Tunawapongeza Sana Madiwani Wetu Na Uongozi Wote Wa Manispaa Ya Tabora Kwa Kazi Hizi Mujarabu
No comments