Kaitaba Kwetu Ni Blog Maalumu kwa kuwaletea habari zote muhimu sitokeazo kanda yote ya ziwa mpaka Tabora. Hivyo kama una Tangazo kuhusu Biashara yako unaruhusiwa kutangaza nasi. Kwa mawasiliano kuhusu Matangazo Wasiliana nasi kwa simu namba +255755563180 au +255626615639 au E-Mail : Protocooperation53@gmail.com na Frankwilbert16@gmail.com. Nyote Mnakaribishwa.

Header Ads

ST.MARY'S TABORA, STUDENTS STUDY TOUR TO IGOMBE WATER MANAGEMET STATION MAY, 2017

Mkuu Wetu Wa Msafara, Mwl. R.Sereman Akianzisha Safari Kuelekea Bwawa La Igombe Ndani Ya Manispaa Ya Tabora, Kila La Heri Katika Safari Yenu.
Nyuso Zenye Bashasha

Kwa Hisani Kubwa Ya  Kampuni Ya Usafirishaji Wa Abiria Tabora, Ni NBS Bus.
Baada Ya Masaa Kadhaa Hatimaye Tunafika Mwisho Wa Safari Yetu, Kwa Furaha Kubwa Kibao Kinatukaribisha Igombe
Asante Rais Jakaya.K.Mrisho Kwa Kutuzindulia Mradi Wetu Wana Tabora

Zingatia Usisahau Lakini Shoga.............

Kuelekea ndani

Wakaanza Na Kumbukumbu Wakiwa Pamoja Na Mwenyeji Mwongozaji Wetu
Baadhi Ya Vivutio Ndani Ya Mradi. Mahara Hapa Ndipo Panapopatikana Historia Fupi Ya Bwawa Hili, Lilijengwa Mnamo Mwaka 1959.

Mtambo Wa Kusukuma Maji Kutoka Bwawani Kupanda Juu

Sehemu Ya Staff Kutoka St. Mary's Wakicheki Na Camera Yetu. Kutokea Kushoto Ni: Chris, Revinus, Rich na Yusuph a.k.a Yuzo
Shoga Natamani Nibaki Huku ........

No comments

Powered by Blogger.