MWENDELEZO WA MATUKIO YA MAY MOSI ST.MARY'S STAFF TABORA
Ni eneo ndani ya Parokia ya Magiri maalufu kama Msalabani
Kumbukumbu kwa ajiri ya vizazi vijavyo
Mwanadada Furumena mubashara na kamera
Sanamu safi sana kwa ukumbusho wa Bikira Maria
Wadau na ukodaki pande hizi
Swahiba
Bloga wako katika kuangaza maeneo
Hilo cheko sasa
Anaitwa Lucas katika eneo lake la kujidai
Kama Ulaya vile
Fr. Maganga ambaye ni Head Master St. Mary's akikatiza maeneo tofauti
Masister wakicheki na kamera yetu
Mwl. Ferooz akiteta na mzee wetu
Staff St. Mary's
Baada ya mlo safi, ni kijana Rich.
No comments