Kaitaba Kwetu Ni Blog Maalumu kwa kuwaletea habari zote muhimu sitokeazo kanda yote ya ziwa mpaka Tabora. Hivyo kama una Tangazo kuhusu Biashara yako unaruhusiwa kutangaza nasi. Kwa mawasiliano kuhusu Matangazo Wasiliana nasi kwa simu namba +255755563180 au +255626615639 au E-Mail : Protocooperation53@gmail.com na Frankwilbert16@gmail.com. Nyote Mnakaribishwa.

Header Ads

KWA VIFAA VVA KIELECTRONIC FIKA BNT WEST ZONE SHOP, TABORA

 Leo nimebahatika kumtembelea mpiganaji wetu Ndg. Bagenzi akiwa ofisini kwake mtaa wa Jamhuri, mkabala na Ofisi za Nssf. Salaamu zake kwenu ni ''Karibuni Nyote''
 Yaliyomo dukani kwake webcam, ant-virus, PC n.k
 Pichani ni kaka mkubwa kwa jina la Bagenzi akiwa dukani kwake pembeni mwa barabara ya Jamhuri mkabala na ofisi ya Nssf
 Moja ya vifaa vinavyopatikana dukani
Hakika pamesheheni bidhaa za kukutosheleza mahitaji yako yote. Wasiliana nao kwa namba: 0754 416 724, 0683 737 167
Pitia maeneo haya ujipatie hitaji lako kwa huduma bora kabisa.
Hii yote ni kwa hisani kubwa ya mdau wako, kaitabakwetu.blog
Usisite kuwasiliana nasi kupitia: 0782 177 775/ 0753 252 677.

No comments

Powered by Blogger.