HARAKATI ZA MWL JULIUS. K. NYERERE KUDAI UHURU
Enzi za uhai wake, hayati baba wa Taifa Mwlimu Julius K. Nyerere pamoja na mke wake mama Maria Nyerere. Alifika mkoani Kagera kutafuta kuungwa mkono katika harakati za kudai uhuru toka kwa waingereza mwaka 1959. Father of nation Mwalimu Julius. K. Nyerere (middle) and his wife (left) mama Maria Nyerere, tripped to Kagera region mobilising the people unite against the British colonial regime in 1959.
No comments